Viwanda vya Uchapaji
Taasisi ya Elimu Tanzanaia (TET) ina viwanda vya uchapaji katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Morogoro, Songea na Tabora. Viwanda hivyo hutoa huduma za kuchapisha vitabu, vipeperushi, kalenda, shajara (diary), hotuba za wizara, mitihani ya shule, mafaili ya kutunzia kumbukumbu za masijala (registry files), vitambulisho vya kazi, na kazi nyingine za ucapaji zinazofanana na hizo. TET inawakaribisha wadau wa elimu kutoka sekta ya umma na binafsi na watanzania wote kupata huduma bora za uchapaji kwa gharama nafuu toka katika viwanda vya TET. Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zinazotolewa na gharama za huduma hizo, wasiliana na Mkurugenzi wa Utafiti na Machapisho (0629136853) au wasiliana na mkuu wa kiwanda husika
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Press A’ – Dar es Salaam ( 0754465632)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Press B’ – Dar es Salaam (0755 430161)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Mzumbe Book Poject’ - Morogoro (0764158891, 0712727366)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Nuru Yetu’ – Mbeya (0754041614)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Kisomo’ – Mwanza (0758345770)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Elimu ni Bahari’ – Tabora (0712608113, 0754480578)
- Kiwanda cha Uchapaji cha ‘Tujifunze’ - Songea (0755448177)