TET YAWEKA MAKUBALINO NA CHUO KIKUU CHA SHANGHAI NORMAL
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) jana tarehe 30/03/2023 imesaini mkataba wa makubalino ya ushirikiano wa miaka mitatu na Chuo Kikuu cha Shanghai-Normal cha nchini China katika masuala mbalimbali yanayohusu elimu.
Imewekwa:<span>31 </span>March,2023
Soma zaidi