TET YAKABIDHI VIFAA VYA KIELETRONIKI KWA SHULE YA MSINGI TEGETA 'A' NA KIMBIJI SEKONDARI
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) tarehe 18 na 19/04/2023 imekabidhi vifaa vya kielektroniki kutoka nchini Korea kupitia mradi wa KLIC 2022 (Korean e-learning Improvement Cooperation 2022) pamoja na uzinduzi wa maabara ya TEHAMA kwa shule ya Msingi Tegeta A na Shule ya Sekondari Kimbiji za jijini Dar es salaam.
Imewekwa:<span>20 </span>April,2023
Soma zaidi