Wizara ya Elimu ,Sayansi na Teknolojia na Tume ya Mipango zajadili Rasimu ya Sera na Mitaala.
Tarehe 06/09/2023 Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia na Tume ya Mipango zimefanya kikao cha pamoja cha majadiliano ya muelekeo wa sekta ya elimu nchini kwa kuzingatia rasimu ya Sera na Mitaala zilizofanyiwa maboresho.
Imewekwa:<span>07 </span>September,2023
Soma zaidi