TET YAPONGEZWA NA KAMATI YA BUNGE KWA UTENDAJI BORA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeipongeza Taasisi ya Elimu (TET) kwa utendaji kazi uliotukuka, hasa katika eneo la utekelezaji wa Mitaala iliyoboreshwa na uandaaji wa vitabu vya kiada kwa wanafunzi wa elimu ya Awali na Msingi.
Imewekwa:<span>16 </span>March,2024
Soma zaidi